Friday, April 5, 2013

Da' Voices wakielekea level nyingine

Kundi la Da'voice ambalo linaundwa na Eddy Da'voice (e' voice au eclofex), llenx Da'voice na Seki B limekuwa katika michakato ya kujiweka sawa na kupanuka zaidi. Sasa kundi hili linajivunia kuwa na vitengo mbali mbali ambavyo vinakuwa siku hadi siku. Vitengo hivi ni studio ya kurekodi muziki ambayo inajulikana kwa jina la Da'voice Records na studio ya video inayojulikana kwa jina la Keen Insights productions.

Eddie Da'voice akiwa kazini ndani ya Studio za Da'voice Rec.

Logo ya Studio za Keen Insights productions ambazo ziko chini ya Da'voice
English version:
The above pictures describe some of the achievements of Da'voice's members. This achievements are meant to make Da'voice members move to a different level. The group includes Eddy Da'voice, llenx Da'voice and Seki B.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...