Wednesday, July 17, 2013

Matukio: Ziff 2013

Ziff katika mwaka huu wa 2013 imekuwa na mafanikio mengi ikiwemo kuwatambulisha waongozaji (directors) wazawa wa Tanzania. Waongozaji hawa wamekuwa katika mstari wa mbele kukuza tasnia ya filamu hapa nchini. Waliotambulishwa ni pamoja na Amil Shvji aliyeongoza filamu fupi "Shoeshine" ; Issa Mbura "Crush/Husuda", na Edgar Ngelela "Anguko/the fall".
Issa Mbura na Amil Shivji wakishikilia tuzo zao
Yafuatayo ni matukio mbalimbali katika tamasha hilo la filamu.

Director wa 'Anguko' Edgar Ngelela akiwa na Wilsom Makubi (Mwenye T-shirt ya blue) pamoja na waigizaji wa Anguko Mustafa na Janeth na wanafunzi wengine wawili wa TFTC Hassan na Irene Msuya. (Picha na David Shija)
Director wa filamu fupi ya 'Anguko' Edgar Ngelela akiwa ameshtukizwa. (Picha na David Shija.)
Professor Martin Mhando akiwa na wahusika muhimu katika tamasha la Ziff la 16 la mwaka 2013.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...