Monday, May 20, 2013

Anguko's selection for ZIFF (Anguko yachaguliwa ZIFF)

The short film 'Anguko' the fall has been selected for Ziff. Edgar Ngelela who is the director of the film in his comments said that he was very happy to get the information.


Edgar added that this would be a way forward to start new strategies to promote Tanzanian films that have followed all the important technicalities. Edgar says, "Tanzanians in the film industry are ignorant. They want something fast and don't care much on the mistakes that occur during the production." Edgar added that if the Tanzanians (in the film industry) would like to succeed in film production they should stop the ignorance and start a fresh page by practicing professionalism.

Kiswahili version:
Filamu fupi ya 'Anguko' the fall imechaguliwa kuoneshwa na kushindanishwa katika Tamasha la 16 la ZIFF. Akizungumza na Blog hii Edgar Ngelela ambaye ni director wa filamu hiyo alisema kwamba alifurahishwa sana kwa kupata nafasi hiyo muhimu.

Edgar Ngelela aliongeza kuwa hii ni njia muhimu ya kuanza kupanga mikakati na kuitangaza tasnia ya filamu za kitanzania zilizofuata sheria na kanuni za msingi. Edgar alisema, "Watanzania wengi katika tasnia ya filamu wamekuwa ni watu wa kupuuzia vitu vidogo vidogo katika uzalishaji. Watu hawa hutaka kitu cha haraka na kupuuzia makosa madogo madogo yanayojitokeza wakati wa uzalishaji (Production)." Edgar aliongeza kwa kusema kuwa kama Watanzania (katika Tasnia ya filamu) watataka kufanikiwa katika utengenezaji wa filamu, waache kupuuzia na kuanza katika ukurasa mpya wakitaaluma.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...