Watoto wa TCTC Tabata wakiimba wimbo wa Bob Rudala katika Tamasha hilo.
Tamasha liliahirishwa kwa mategemeo kufanyika tena mwakani mwaka 2012.
Watoto wa Shada kutoka Bagamoyo wakionyesha Sarakasi.
Watoto wa friends of Don Bosco kutoka Kimara-Suka wakicheza Mganda
Ukumbi wa Nyumba ya utamaduni ulivyolipendezesha Tamasha
Mwenyekiti (Chairperson) Akifunga Tamasha
Mtoto wa KAOMU High view Nursery and Primary school kutoka Mbagala akipokea zawadi.
Na hawa ndio walikuwa wanakamati wa Tamasha hili la kwanza
Vitalis Maembe akiwa na Chanjo ya Rushwa
Tamasha liliahirishwa kwa mategemeo kufanyika tena mwakani mwaka 2012.
1 comment:
Congrats to all organizing committee...keep the tire rolling..tupo pamoja. Mkurugenzi Mama Gratta usife moyo, nia yako ni nzuri na utafika tuu..
Mungu bariki watoto wa Tanzania.
Post a Comment