Wednesday, September 1, 2010

Web's Painting

Mwanahiti

Ernest Biseko (Web or Tyson as known by many) is a local painter from Tanzania who has been painting various extra ordinary abstract and realistic paintings. The above painting was a painting he named Mwanahiti.

Mwana hiti ni mdoli au kinyago katika jamii ya wazaramo. Biseko (Web) katika mchoro huo hapo juu ni wazi kwamba kuna ujumbe alikuwa anafikisha kwetu ila cha msingi ni mimi kukushirikisha wewe msomaji uweze kuuona ujuzi mkubwa wa kupaint alionao Biseko.

Michoro zaidi katika posti zijazo. More paintings and information about Biseko coming soon!!!

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...