Thursday, December 4, 2008

Msanii, Sanaa na Undani wa Sanaa

Think like a thinker!!!


The llenx logo, from scratch was designed by llenx.

Weka Logo Kwenye Begi, Jeanz, T-shirt au Kapelo.

Hii ni kwa wote wenye uchungu na sanaa Tanzania, TUACHE kusema 'lini tutaendelea', au 'Serikali itusaidie'. Tuweke nguvu na uwezo wetu katika sanaa ili tuwe chachu katika sanaa Tanzania.
********************
Jongea katika blog hii uone na kusoma mambo mbali mbali yanayomhusu llenx, marafiki zake, wasanii waliokaribu naye na watu wote wanaoiwakilisha sanaa katika hatua nyingine.

1 comment:

Ronald Nakaka said...

I personally know most of the artists from the group and they are really talented.. It's about time they had something like a blog to show the world what they got!

Can we please hear the music on the blog?

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...